Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Sahel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rangi ya njano inaonyesha eneo la Sahel barani Afrika.

Sahel (kutokaneno lile laKiarabuساحلsahil ambalo linamaanishapwani na ni asili ya neno "Kiswahili") nikanda nyembamba ya ardhi kavu baraniAfrika kutokaBahari ya Atlantiki hadiBahari ya Shamu.

Nikilometa 5,400 kwa 450-1,000 hivikusini kwajangwa laSahara nakaskazini kwa eneo lamisitu, ikienea kwa kiasi tofauti katika nchi zifuatazo (kutokamagharibi kwendamashariki):Senegal,Mauritania,Mali,Burkina Faso,Aljeria,Niger,Nijeria,Chad,Sudan,Sudan Kusini,Eritrea,Kamerun,Jamhuri ya Afrika ya Kati naEthiopia.

Sahel inatabianchi nusu-kavu yakitropiki.Joto ni kalimwaka mzima lakinimvua chache tu (kati yamilimita 100-150 na 600 kwa mwaka) ambayo inanyesha wakati wamajira ya joto tena bila kuaminika.

Hivyo Sahel inakabili hatari kubwa ya kugeuka jangwa, pia kwa sababu wakazi wake, kwa kushindwakulima ipasavyo, wanategemeaufugaji wawanyama wengi mno ambao wanazidi kuharibumazingira.

Makala hii kuhusu maeneo yaAfrika bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuSahel kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Sahel&oldid=1088629"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp