Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Rubidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Rubidi
(Rubidium)
Rubidi ndani ya tubu katika angahewa ya arigoni
Rubidi ndani ya tubu katika angahewa yaarigoni
Jina la ElementiRubidi
(Rubidium)
AlamaRb
Namba atomia37
Mfululizo safuMetali alikali
Uzani atomia85.4678
Valensi2, 8, 18, 8, 1
Densiti1.532
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka312.46K (39.31°C)
Kiwango cha kuchemka961 K (688 °C)
Asilimia zaganda la dunia0.3 %
Hali maadamango

Rubidi (Kilat. rubidus: nyekundu) nielementi nametali alikali yenyenamba atomia37 kwenyemfumo radidia nauzani atomia 85.4678. Alama yake niRb.

Tabia

[hariri |hariri chanzo]

Kali (potasiamu) ni metali laini sana inayochemka kwa sentigredi 39 tayari. Rangi yake ni nyeupe-fedha. Haipatikana kiasili kama metali tupu kwa sababu humenyuka haraka na kuoksidika hewani. Inamenyuka vikali sana na oksijeni na kuwaka peke yake ikiwekwa hewani tu.

Rubidi hutokea kwa umbo la isotopi mbili;85Rb ni thabiti lakini87Rb ni mnururifu na kugeuka kuwa87Sr. Lakini nusumaisha yake ni miaka bilioni 48 hivyo unururifu ni mdogo.

Matumizi

[hariri |hariri chanzo]

Kutokana na uhaba wa metali kuina matumizi chache tu hasa katika utafiti wa kisayansi.

Makala hii kuhusu mambo yakemia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuRubidi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Rubidi&oldid=881343"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp