Ron Ely
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Ronald Pierce Ely (Jun 21,1938 –Septemba29,2024) alikuwamuigizaji namwandishi wariwaya kutokaMarekani. Ely anajulikana zaidi kwa kucheza jukumu laTarzan katika mfululizo waNBC waTarzan kuanzia mwaka1966 hadi1968, na ndie aliekua na jukumu la juu zaidi kwenye filamu yaDoc Savage: The Man of Bronze (1975). Pia aliongoza matangazo ya shindano la Miss America mwaka1980 na1981.[1]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)![]() | Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuRon Ely kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |