Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Roger Tsien

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roger Tsien

Roger Yonchien Tsien (amezaliwa1 Februari1952) ni mwanakemia kutoka nchi yaMarekani. Hasa alichunguza sifa zaprotini fulani. Mwaka wa2008, pamoja naOsamu Shimomura naMartin Chalfie alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi waTuzo ya Nobel bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuRoger Tsien kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Roger_Tsien&oldid=896035"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp