Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Rocky Dawuni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rocky Dawuni
Rocky Dawuni

Rocky Dawuni ni mwimbaji,mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji kutokaGhana ambaye anaimbaAfro Roots' sauti ambayo ni mchanganyiko wa muziki wa Reggae, Afrobeat, Highlife na Soul. Kwa sasa anaishi kati ya Ghana naLos Angeles.[1]

Dawuni alifahamuReggae nchiniGhana aliposikia bendi ya kijeshi ikiimba moja ya nyimbo zaBob Marley katika Michel Camp;[2] kambi ya kijeshi ambako alikulia.[1] Dawuni alianzisha tamasha la kila mwaka la "Independence Splash", ambalo hufanyika nchini Ghana katika Siku ya Uhuru wa Ghana, Machi 6.[1]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. 1.01.11.2"'Ghana's Bob Marley' spreads message of brotherhood". 23 Agosti 2011.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Rocky grew up in Michel Camp, Ghana". katc.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2016-12-20. Iliwekwa mnamo26 Aprili 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuRocky Dawuni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Rocky_Dawuni&oldid=1246705"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp