Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Roboti ya viwandani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Seti ya roboti za ekseli sita zinazotumika kuchomelea.

Roboti ya viwandani(kwaKiingereza: industrial robot) ni mfumo waroboti unaotumika katikauzalishaji wabidhaa. Roboti zaviwandani ni za kiotomatiki, zinaweza kupangwa na zinaweza kusonga kwaekseli tatu au zaidi.

Roboti za viwandani hutumiwa kwa shughuli kama kuchomelea vyuma, kupakarangi, kuunganisha na kutenganisha,[1] kuchukua na kuwekavipuli kwabodi za saketi zilizochapishwa, kuweka lebo, ukaguzi wa bidhaa na majaribio; yote yametimizwa kwakasi, na usahihi. Zinaweza kusaidia katika utunzaji wa nyenzo.

Katikamwaka wa2020, roboti za viwandanimilioni 1.64 zilikuwa zikifanya kazi koteulimwenguni kulingana na Shirikisho la Kimataifa la Roboti (IFR).[2]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Robot Assisted Disassembly for the Recycling of Electric Vehicle Batteries
  2. "Worries about premature industrialisation".The Economist (kwa Kiingereza).Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-21. Iliwekwa mnamo2017-10-21.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yasayansi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuRoboti ya viwandani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Roboti_ya_viwandani&oldid=1331478"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp