Rigobert Bamundele (anajulikana kama Rigo Star) ni mpigagitaa namtunzi wamuziki wasoukous nchiniKongo. Rigo kwa sasa anaishi katikamji waParis nchiniUfaransa.
Ameshirikiana kwenyekazi za muziki na baadhi ya wasanii wakubwa wa muziki waHip hop pamoja na wasanii wabongo Hip Hop kama Amber The Viva La Musica, Bozi Boziana's Anti-Choc,Kanda Bongo Man,Koffi Olomide,Kelele, Kékélé, naPaul Simon naFally Ipupa katika albamu yake ya mwaka2009.[1] Pia alitoa albamu chache mnamo mwaka1998 kama vileAttention! avec Sam Mangwana.
![]() | Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuRigo Star kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |