Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Reni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Reni (Rhenium)
Reni katika testitubu
Reni katika testitubu
Jina la ElementiReni (Rhenium)
AlamaRe
Namba atomia75
Mfululizo safuMetali ya mpito
Uzani atomia98
Valensi2, 8, 18, 32, 13, 2
Densiti21.02
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka3459 K (3186°C)
Kiwango cha kuchemka5869 K (5596 °C)
Asilimia zaganda la dunia1 · 10-7 %
Hali maadamango
Mengineyo

Reni (kutoka jina laKilatini "Rhenus" la mtoRhine) nimetali nzito na haba sana. Kikemia nielementi ya mpito yenye kifupi chaRe nanamba atomia75 katikamfumo radidia.

Tabia

[hariri |hariri chanzo]

Reni ni metali ngumu na nzito. Hutokea katika mitapo yamolibdeni. Baada ya kuisafisha rangi yake ni kifedha-nyeupe. Kati ya elementi zote zisizo nururifu ni elementi haba sana.

Matumizi

[hariri |hariri chanzo]

Kutokana na uhaba hakuna matumizi mengi. Inachanganywa hasa ndani yaaloi mbalimbali hasa nanikeli inapoongeza uimara kwa mfano ndani ya injini za ndege.


Makala hii kuhusu mambo yakemia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuReni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Reni&oldid=947896"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp