Mwaka 1961, Tata alikutana na msanifu majengo A. Gili Jones ambaye alitumia majuma matatu akiwa mkosoaji wa ubunifu wa usanifu majengo katika Chuo Kikuu cha Cornell. Baada ya kumaliza masomo yake Cornell, Tata alijiunga kwa muda mfupi na Jones katika kampuni yake ya Jones & Emmons huko Los Angeles. Wakati Tata alipokuwa akipanga kuishi Los Angeles, aliitwa kurudi India na bibi yake.[1][2]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuRatan Tata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.