Dondoo
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Dondoo | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Dondoo-nyika (Raphicerus campestris) | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 3:
|
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dondoo,dondoro auisha niwanyamapori wadogo wajenasiRaphicerus katikafamiliaBovidae wenyemasikio makubwa. Wana rangi ya mchanga inayoelekea nyekundu na mara nyingi madoa au milima nyeupe. Madume wanapembe fupi na laini. WanatokeaAfrika ya Kusini na yaMashariki katika maeneo mbalimbali kutoka ukanda wajangwa mpakavilima vyenyemsitu wazi. Wanyama hawa hulamajani,vitawi,mizizi naviazi.
![]() | Makala hii kuhusu mnyama fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuDondoo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia:Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.