Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Ramani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya dunia ya mwaka1662
Ramani yaonyesha kilele chamlima Kilimanjaro na mistari yakimo
Ramani ya muundo wa usafiri wareli ndani ya mji waLondon,Uingereza

Ramani nipicha - kwa kawaidamchoro - yadunia au sehemu au sifa zake.

Ni tofauti na picha iliyopigwa kwakamera kutokandege auchombo cha angani kwa sababu mchora ramani anachagua anachotaka kuonyesha na kuzipauzito sifa anazotaka kuziwekea mkazo.

Kuna aina nyingi za ramani:

Kilamchoraramani anahitaji kuchagua jinsi ya kuonyesha mambo yake. Kwa ramani za kijiografia tatizo hutokana naumbo la dunia ambalo nitufe wakati ramani kwa kawaida nikaratasibapa.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu eneo fulani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ramani&oldid=1399671"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp