Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Ramallah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramallah

Ramallah (kwaKiarabu رام الله اﷲ, yaani "mlima waMungu") nimji waPalestina katikaeneo la magharibi ya Yordani.

Mji ukokilometa 10 kaskazini kwaYerusalemu.

Idadi ya wakazi ni 57,000 hivi, wengi wao wakiwaWaislamu naasilimia 25Wakristo.

Mjini kunaofisi zaserikali yaMamlaka ya Palestina pamoja na moja kati yaikulu mbili zaRais,Mahammod Abbas.

Makala hii kuhusu maeneo yaAsia bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuRamallah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ramallah&oldid=947619"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp