Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Ralph Bunche

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ralph Bunche (1951)

Ralph Johnson Bunche (7 Agosti19049 Desemba1971) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi yaMarekani. Mwaka wa1950 alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel kwa Amani kwa vile aliwasaidiaWaarabu naWaisraeli kusimamisha vita yao kwa muda kulePalestina mwaka wa 1949.


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuRalph Bunche kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ralph_Bunche&oldid=927317"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp