Ralph Baldock (auRalph de Baldoc) alikuwaAskofu waLondon katikaenzi za kati.
Baldock alichaguliwa kuwa askofu tarehe 24 Februari 1304, akathibitishwa tarehe10 Mei, na akatawazwa tarehe30 Januari1306.[1][2]