Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Praseodimi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Praseodimi
Praseodimi (ikitunzwa ndani ya gesi ya Arigoni)
Praseodimi (ikitunzwa ndani ya gesi yaArigoni)
Jina la ElementiPraseodimi
AlamaPr
Namba atomia59
Mfululizo safuLanthanidi
Uzani atomia140.907
Valensi2, 8, 18, 21, 8, 2
Densiti6.475 g/cm3
Kiwango cha kuyeyuka1208K (935°C)
Kiwango cha kuchemka3403 K (3130 °C)
Asilimia zaganda la dunia5,2 ppm
Hali maadamango

Praseodimi nielementi ya kikemia yenyealamaPr kwenyejedwali la elementi. Inayonamba atomia 59 ambayo inamaanisha inaprotoni 59 ndani yaatomu. Nimetali laini yenyerangi yakifedha-kijivu,chumvi zake ninjano-kijani. Huhesabiwa kati yaLanthanidi nametali za ardhi adimu.

Inachanganywa namagnesi kutengenezaaloi thabiti kwa ajili ya matumizi ndani zainjini zaeropleni. Inaweza pia kutumiwa kutia rangi yakijani kibichi kwenyevioo.

Praseodimi ilitengwa kwanza namadini mengine mnamo1885 namwanakemia waAustriaCarl Auer von Welsbach. Inapatikana katikamchanga, unaoitwa mchanga wa monaziti, hukoMarekani (Florida,Kalifornia),Uhindi, naBrazil.

Makala hii kuhusu mambo yakemia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPraseodimi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Praseodimi&oldid=1105226"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp