AlamaXXX inatumika mara nyingi kudokeza ponografia.Ramani ya dunia ikionyesha uhalali na uharamu wa ponografia nchi kwa nchi (miaka 18+) Halali Halali kiasi Haramu Haijulikani vizuri
Ponografia (kutoka neno laKigiriki cha kisasa πορνογραφία, pornografia, ambalo linaunganisha πόρνη, pornē, yaani "kahaba" au πορνεία, porneia, yaani "ukahaba"[1]), na γράφειν, grafein, "kuandika, kutunza kumbukumbu, hata mchoro", na kumalizika ns ία, ia, yaani "hali ya, mali ya, mahali pa") nipicha au maandishi yenye lengo la kuwatiaashiki watazamaji au wasomaji.
↑Mackinnon, Catherine A. (1984) "Not a moral issue".Yale Law and Policy Review 2:321–345. Reprinted in: Mackinnon (1989).Toward a Feminist Theory of the State Harvard University Press.ISBN 0-674-89645-9 (1st ed),ISBN 0-674-89646-7 (2nd ed). "Sex forced on real women so that it can be sold at a profit to be forced on other real women; women's bodies trussed and maimed and raped and made into things to be hurt and obtained and accessed, and this presented as the nature of women; the coercion that is visible and the coercion that has become invisible—this and more grounds the feminist concern with pornography".