Jina polima linatokana naneno ambalo ni laKigiriki chakisayansi lililopatikana kwa kuunganisha πολύpoli ‘nyingi‘ na μέροςmeros ‘sehemu, kizio‘ kwa hiyo kumaanisha "ya vizio vingi". Hii inaonyesha jinsimuundo wa polima unavyokuwa na vizio vingi vidogo vilivyounganishwa pamoja kuwamolekuli kubwa.
Makala hii kuhusu mambo yakemia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuPolima kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.