Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Podgorica

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Podgorica nchini Montenegro

Podgorica (Kiserbia:Подгорицаtamka pod-go-ri-tsa)ni mji mkuu pia mji mkubwa waMontenegro mwenye wakazi 140,000. Iko kwa42°28′12″N, 19°16′48″E pale ambako mito ya Ribnica na Morača inapokutana. Mji uliitwaTitograd kati ya 1946 hadi 1992.

Mji umejulikana tangu 1326 ulikuwa sehemu ya ufalme waSerbia. Tangu 1466 ilitawaliwa naWaosmani hadi1878 wakati Montenegro ilipopata uhuru wake.

Baada yaVita Kuu ya Pili ya Dunia mji ukawamji mkuu wa jamhuri ya Montenegro ndani ya shirikisho laYugoslavia. Umeendelea kuwa mji mkuu tangu uhuru wa nchi mwaka 2006.

Picha za Podgorica

[hariri |hariri chanzo]
  • Msikiti mjini Podgorica
    Msikiti mjini Podgorica
Makala hii kuhusu maeneo yaUlaya bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuPodgorica kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Podgorica&oldid=928923"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp