Pinocchio nifilamu yakatuni yaMarekani yamwaka wa1940 iliyotayarishwa naWalt Disney na inatokana nahadithi yaKiitalia yaCarlo Collodi aliyesimulia vituko vyamwanaserere Pinokyo (Le avventure di Pinocchio).Kitabu hicho kiliwahi kutafsiriwa naTanganyika Mission Press kwaKiswahili mwaka1965 na kuwa maarufuAfrika Mashariki kwa jinaMambo yalioyompata Pinokyo.
Hii ni filamu yapili kutolewa katikamfululizo wa filamu za katuni za Walt Disney, na ilitengenezwa baada ya kupata mafanikio makubwa katika filamu ya awali yaSnow White and the Seven Dwarfs na ilitolewa katika makumbi naRKO Radio Pictures tarehe 7 Februari 1940.
Hadithi ya filamu hii inamhusishakikaragosi chambao anayeitwaPinocchio (sauti yaDickie Jones) ameletwa maishani na kichimbakazi cha buluu (Evelyn Venable), ambaye anamweleza kwamba anaweza kuwa kijana wa kweli iwapo atajibitisha kama ni "jasiri, mkweli, na si mchoyo". Hivyo kikaragosi huyo anaianza safari ili ili awe kijana wa kweli, ambamo kunatokea mashambulizi mengi wakati wa safari hiyo.
Ndani yake wanakujaAurelius Battaglia,William Cottrell, Otto Englander,Erdman Penner,Joseph Sabo,Ted Sears, naWebb Smith kutoka katika kitabu cha Collodi. Matayarisho yake yalisimamiwa naBen Sharpsteen naHamilton Luske, na mfululizo wa filamu uliongozwa naNorman Ferguson,Thornton Hee,Wilfred Jackson,Jack Kinney, naBill Roberts.