Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Paa (Bovidae)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaPhilantomba)
Paa
Nsya (Sylvicapra grimmia)
Nsya
(Sylvicapra grimmia)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Animalia(Wanyama)
Faila:Chordata(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:Mammalia(Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda:Artiodactyla(Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda:Ruminantia(Wanyama wanaocheua)
Familia:Bovidae(Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia:Cephalophinae(Wanyama wanaofanana napaa)
J. E. Gray, 1871
Ngazi za chini

Jenasi 3, spishi 21:

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paa (ing.duiker; huitwa pia:Nsya,Sylvicapra grimmia;Mindi,Cephalophus spadix;Funo,Cephalophus natalensis; naChesi,Philantomba monticola) ni jina la kawaida kwawanyama wadogo waAfrika wanaofanana naswala na walio na pembe fupi. Huainishwa katikanususfamiliaCephalophinae yafamiliaBovidae.Paa-chonge ni wanyama wengine katika familiaTragulidae.

Spishi

[hariri |hariri chanzo]

Picha

[hariri |hariri chanzo]
  • Paa nunga
    Paa nunga
  • Funo wa Peters
    Funo wa Peters
  • Paa mgongo-mweusi
    Paa mgongo-mweusi
  • Funo
    Funo
  • Paa mweusi
    Paa mweusi
  • Paa paji-jeusi
    Paa paji-jeusi
  • Paa mbavu-nyekundu
    Paa mbavu-nyekundu
  • Kipoke
    Kipoke
  • Funo wa Weyns
    Funo wa Weyns
  • Paa milia
    Paa milia
  • Chesi wa Maxwell
    Chesi wa Maxwell
  • Chesi
    Chesi
  • Nsya
    Nsya
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPaa (Bovidae) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Spishi zaArtiodactyla zilizo hai hadi sasa
Himaya:Animalia · Faila:Chordata · Ngeli:Mammalia · Ngeli ya chini:Eutheria · Oda ya juu:Laurasiatheria
NusuodaRuminantia
Antilocapridae
Giraffidae
Moschidae
Tragulidae
Cervidae
Familia hii kubwa iorodheshwa chini
Bovidae
Familia hii kubwa iorodheshwa chini
FamiliaCervidae
Cervinae
Muntiacus
Elaphodus
Dama
Axis
Rucervus
Panolia
Elaphurus
Hyelaphus
Rusa
Cervus
Capreolinae
FamiliaBovidae
Cephalophinae
Hippotraginae
Reduncinae
Aepycerotinae
Peleinae
Alcelaphinae
Pantholopinae
Caprinae
Nusufamilia hii kubwa iorodheshwa chini
Bovinae
Nusufamilia hii kubwa iorodheshwa chini
Antilopinae
Nusufamilia hii kubwa iorodheshwa chini
FamiliaBovidae (nusufamiliaCaprinae)
Ammotragus
Arabitragus
Budorcas
Capra
Capricornis
Hemitragus
Naemorhedus
Nilgiritragus
Oreamnos
Ovibos
Ovis
Pseudois
Rupicapra
FamiliaBovidae (nusufamiliaBovinae)
Boselaphini
Bovini
Strepsicerotini
FamiliaBovidae (nusufamiliaAntilopinae)
Antilopini
Saigini
Neotragini
NusuodaSuina
Suidae
Tayassuidae
NusuodaTylopoda
Cetartiodactyla(Divisheni bila tabaka, juu ya Artiodactyla)

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia:Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Paa_(Bovidae)&oldid=1242049"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp