Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Peter Debye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Peter Debye

Peter Joseph William Debye (24 Machi18842 Novemba1966) alikuwa mwanakemia kutoka nchi yaUholanzi. Jina lake la kuzaliwa lilikuwaPetrus Josephus Wilhelmus Debije. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza mfumo waatomu, mionzi yaeksirei, na sifa zagesi. Mwaka wa1936 alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa1940, kabla WaNazi hawajavamia Uholanzi, Debye alihamiaMarekani alikoishi hadi kifo chake.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPeter Debye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Peter_Debye&oldid=881000"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp