Josep "Pep"Guardiola Sala, (amezaliwa 18January1971[1]) nimeneja wasoka la kulipwa,Raia waUhispania na mchezaji wampira wa miguu wa zamani, ambaye ni meneja wa klabu yaManchester City tangu 2016. Anachukuliwa kuwa mmoja wa wasimamizi muhimu katika historia ya soka.[2] Na anashikilia rekodi za mechi nyingi mfululizo za ligi alizoshinda kwenyeLa Liga akiwa na klabu yaBarcelona F.C.[3]
Guardiola alikuwakiungo mkabaji. Alitumia muda mwingi wa maisha yake akiwa na Barcelona,Pia alikuwa sehemu ya timu yaJohan Cruyff iliyoshinda kombe la kwanza la klabu bingwa Ulaya mwaka1992[4]. na kushinda makombe manne mfululizo katika ligi kuu ya Uhispania (1991-1994).Alikuwa nahodha wa timu kutoka mwaka1997 hadi2001 alipoondoka katika klabu hiyo.Guardiola aliwahi kuchezaBrescia naRoma nchiniItalia, Al-Ahli yaQatar, naDorados de Sinaloa yaMexico.Alicheza mara 47 akiwa kama nahodha wa timu ya taifa ya Uhispania , na alicheza kwenyeKombe la Dunia la FIFA la mwaka 1994, na vile vile kwenye UEFA Euro ya mwaka2000.
↑"Pep Guardiola". fcbayern.de. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 17 Mei 2014. Iliwekwa mnamo16 Mei 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
↑"Josep Guardiola – The Boy from Santpedor". spain-football.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 10 Januari 2013. Iliwekwa mnamo16 Januari 2013.{{cite web}}:More than one of|accessdate= na|access-date= specified (help);More than one of|archivedate= na|archive-date= specified (help);More than one of|archiveurl= na|archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuPep Guardiola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.