Jozi ni namna ya kutajavitu viwili vilivyo pamoja na vinavyofanana. Ni namna nyingine ya kusema "mbili" lakini kwa kukaziatabia ya kuwa pamoja.
Neno linatokana naKiarabuجوزاءjawza inayomaanisha pia "mapacha".
Mifano ya jozi za kawaida niviatu,soksi,macho.Khanga zinauzwa mara nyingi kwa jozi.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yahisabati bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuJozi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |