Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Paul McCartney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul McCartney jukwaani.

Paul McCartney (alizaliwa18 Juni1942) nimwanamuziki,mwimbaji, msanifu,mtunzi wanyimbo na wafilamuMwingereza aliyepata umaarufu wa kimataifa kama mwimbaji-mwenza na mcheza-gitaa ya besi waThe Beatles. Ushirikano wake naJohn Lennon katikauandishi wa muziki ndio uliofora zaidi kihistoria.

Baada ya theThe Beatles kusambaratika mwaka wa1970, Paul alijiendeleza kimuziki na akafora kivyake, akaiundabendiThe Wings na mkewe wa kwanza, Linda, pamoja na Denny Laine.

Kama mwanamuziki wa kujifunza, McCartney ana uwezo wa kucheza besi, gitaa, kibodi na ngoma. Anajulikana kwa mbinu yake ya kimelodia ya uchezaji wa besi (akiichezea sana kutumia kibonye, sauti yake ya tena ikiwa ya upana). McCartney alianza kazi yake ya kimziki akiwa na bendi yathe Quarrymen mwaka wa 1957, bendi ambayo ilibadilika kuwa the Beatles mwaka wa 1960. Kuanzia 1967, alianza uongozaji wa the Beatles na akawa meneja kibiashara wa bendi, akiipa motisha kufuatilia Bendi ya Sgt. Pepper's Lonely Hearts Club. Katika nyimbo zake na the Beatles, "Yesterday" (1965) imeimbwa na wanamuziki 2,200 na zaidi, na imefanywa kihistoria kuwa mojawepo ya nyimbo zilizofora sana kupitia kuimbwa na wanamuziki wengine.

Mnamo 1970, aliiunda albamu ya kipekeeMcCartney. Kuanzia1989, McCartney amekuwa akitembea kivyake.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Uongozi na Utayarishaji
Albamu
Makala Zinazohusiano
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPaul McCartney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Paul_McCartney&oldid=1346219"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp