Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Paul Karrer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Karrer

Paul Karrer (21 Aprili188918 Juni1971) alikuwa mwanakemia kutoka nchi yaUswisi. Hasa alichunguza mfumo wavitamini mbalimbali. Mwaka wa1937, pamoja naNorman Haworth alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPaul Karrer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Paul_Karrer&oldid=1119145"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp