Patena
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Patena nisahani yaduara inayotumika katikaliturujia yaMisa yaKanisa Katoliki namadhehebu mengine mbalimbali yaUkristo.
Inaweza kutengenezwa kwamata mbalimbali, lakini kwa kawaida ni yadhahabu aufedha kwaheshima yaMwili wa Kristo unaowekwa juu yake katikaumbo lamkate.
KatikaUkristo wa mashariki patena inaitwadiskos (kwaKigiriki:δισκάριον,diskarion) na ina aina yamguu chini yake. Mara nyingi imepambwa kwa sura yaYesu au yaTheotokos (kwa kuwaBikira Maria alichukuamimba yake).
![]() | Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuPatena kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |