Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Papa Zephyrinus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Zefirino.

Papa Zephyrinus alikuwapapa kuanzia takriban198 hadikifo chaketarehe20 Desemba217/218[1]. AlitokeaRoma,Italia.

AlimfuataPapa Vikta I akafuatwa naPapa Kalisto I.

Alipambana na aina mbalimbali zauzushi kuteteaumungu waYesu Kristo[2].

Pia alitegemezaWakristo katikadhuluma yakaisariSetimio Severo (193-211)[3] na kumuagizashemasi wake Kalisto,mwandamizi wake, atengenezeshamba la Mungu laKanisa la Roma kwenyebarabara Appia[4].

Tangu kale anaheshimiwa naWakatoliki naWaorthodoksi kamamtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 20 Desemba[5][6].

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Maandishi yake

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Optatus,De Schismate 1,1
  3. A. Butler,Lives of the Saints Vol VIII, 1866
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/67700
  5. "Calendarium Romanum" (Libreria Editrice Vaticana, 1969), p. 136
  6. "Martyrologium Romanum" (Libreria Editrice Vaticana, 2001ISBN 88-209-7210-7)

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Rendina, Claudio,The Popes' Histories and Secrets (2002)

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
karne ya 1 hadi ya 4
karne ya 5 hadi ya 8
karne ya 9 hadi ya 12
karne ya 13 hadi ya 16
karne ya 17 hadi ya 20
karne ya 21
Makala hii kuhusu Papa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPapa Zephyrinus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Papa_Zephyrinus&oldid=1422148"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp