Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Papa Stefano IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Stefano IV.

Papa Stefano IV alikuwaPapa kuanziatarehe22 Juni816 hadikifo chake tarehe24 Januari817[1]. AlitokeaRoma,Lazio,Italia[2].

Jina lababa yake lilikuwa Marinus (ambaye asichanganywe naPapa Marinus I aliyetawala882-884).

Stefano IV alimfuataPapa Leo III akafuatwa naPapa Paskali I.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
karne ya 1 hadi ya 4
karne ya 5 hadi ya 8
karne ya 9 hadi ya 12
karne ya 13 hadi ya 16
karne ya 17 hadi ya 20
karne ya 21
Makala hii kuhusu Papa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPapa Stefano IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Papa_Stefano_IV&oldid=1262701"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp