Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Papa Lucius I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Lucius I.

Papa Lucius I alikuwaPapa kuanziaJuni auJulai253 hadikifo chaketarehe5 Machi254[1]. AlitokeaRoma,Italia.

AlimfuataPapa Kornelio akafuatwa naPapa Stefano I.

Kwaimani yake kwaKristo, mara baada ya kuwekwawakfu alipelekwa uhamishoni, lakini aliwahi kurudishwa, akatoaushahidi wake kwa kukabili kwaupole nabusara matatizo ya wakati wake[2][3].

Sipriani wa Carthago alimsifu[4] kwa kukataamsimamo mkali wa wafuasi waNovasyano dhidi ya waliowahi kuasi ili kuokoauhai wao.

Tangu kale anaheshimiwa kamamtakatifu, hasa tarehe ya kifo chake[5][6].

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Maandishi yake

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Kirsch, Johann Peter (1910). "Pope St. Lucius I" inThe Catholic Encyclopedia. Vol. 9. New York: Robert Appleton Company.
  3. https://www.santiebeati.it/dettaglio/43900
  4. (see Epist. lxviii. 5)
  5. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001,ISBN 8820972107
  6. He is commemorated in theRoman Martyrology in the following terms: "In the cemetery of Callistus on the Via Appia, Rome, burial of Saint Lucius, Pope, successor of Saint Cornelius. For his faith in Christ he suffered exile and acted as an outstanding confessor of the faith, with moderation and prudence, in the difficult times that were his." In Latin: "Romae via Appia in coemeterio Callisti, depositio sancti Lucii, papae, qui, sancti Cornelii successor, pro Christi fide exsilium passus est et, fidei confessor eximius, in angustiis tempestatibus suis moderatione ac prudentia se gessit" [Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN|978-88-209-7210-3), die 5 martii].

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
karne ya 1 hadi ya 4
karne ya 5 hadi ya 8
karne ya 9 hadi ya 12
karne ya 13 hadi ya 16
karne ya 17 hadi ya 20
karne ya 21
Makala hii kuhusu Papa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPapa Lucius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Papa_Lucius_I&oldid=1415203"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp