Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Papa Klementi II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Klementi II.

Papa Klementi II (10059 Oktoba1047) alikuwaPapa kuanziatarehe24 Desemba1046 hadikifo chake[1]. AlitokeaSaksonia,Ujerumani[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwaSuidger wa Morsleben und Hornburg. Alichaguliwa kwenyesinodi ya Sutri iliyoitishwa namfalmeHeinrich III wa Ujerumani wakati kulikuwa na watu watatu waliowahi kuchaguliwa kuwa Papa namaaskofu tofauti. Sinodi iliwaondoa wote watatu na kumchagua askofu Mjerumani Suidger ambaye alichukua jina la Kipapa Klementi II.

AlimfuataPapa Gregori VI akafuatwa naPapa Benedikto IX.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
karne ya 1 hadi ya 4
karne ya 5 hadi ya 8
karne ya 9 hadi ya 12
karne ya 13 hadi ya 16
karne ya 17 hadi ya 20
karne ya 21
Makala hii kuhusu Papa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPapa Klementi II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Papa_Klementi_II&oldid=1216878"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp