Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Papa Gregori II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Gregori II.

Papa Gregori II alikuwaPapa kuanziatarehe19 Mei715 hadikifo chake tarehe11 Februari731[1][2]. AlitokeaRoma,Lazio,Italia[3].

AlimfuataPapa Konstantino akafuatwa naPapa Gregori III.

Alimpinga kishujaaKaisari Leo V kuhusuheshima kwapicha takatifu na kuimarishamamlaka ya Papa katikaKanisa la Magharibi.

Ndiye aliyemtumaBonifasi kuinjilishaUjerumani.

Tangu kale anaheshimiwa kamamtakatifu, hasa tarehe 11 Februari[4].

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Mann, Horace. "Pope St. Gregory II." The Catholic Encyclopedia Vol. 6. New York: Robert Appleton Company, 1909. 18 September 2017
  3. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Ekonomou, Andrew J.,Byzantine Rome and the Greek Popes: Eastern Influences on Rome and the Papacy from Gregory the Great to Zacharias, A.D. 590–752 (2007)
  • Levillain, Philippe,The Papacy: Gaius-Proxies, Routledge (2002)
  • Treadgold, Warren,A History of the Byzantine State and Society (1997)
  • Mann, Horace K.,The Lives of the Popes in the Early Middle Ages, Vol. I: The Popes Under the Lombard Rule, Part 2, 657–795 (1903)
  • Bury, John Bagnall,A History of the Later Roman Empire From Arcadius to Irene, Vol. II (1889)
  • Annette Grabowsky:Gregor II. In:Germanische Altertumskunde Online (nur beiDe Gruyter Online verfügbarer Artikel mit umfassenden Quellen- und Literaturangaben) 2014.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
karne ya 1 hadi ya 4
karne ya 5 hadi ya 8
karne ya 9 hadi ya 12
karne ya 13 hadi ya 16
karne ya 17 hadi ya 20
karne ya 21
Makala hii kuhusu Papa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPapa Gregori II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Papa_Gregori_II&oldid=1239840"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp