Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Papa Fransisko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Fransisko siku alipotangaza watakatifu watangulizi wakeYohane XXIII naYohane Paulo II (2014). Amevaakanzu nyeupe kama inavyotumiwa na maaskofu wa Roma tangukarne ya 16.
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja waMungu
Utatu (Baba,Mwana,Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa:Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Kardinali Jorge Bergoglio akiongea narais wa Argentina,Cristina Fernández de Kirchner.

Papa Fransisko,S.I. (kwaKilatini Franciscus, jina la awaliJorge Mario Bergoglio) niaskofu waRoma, na hivyo piaPapa waKanisa Katolikiduniani kote, tangu tarehe13 Machi2013.

AmemfuataPapa Benedikto XVI akiwa wa 266 katikaorodha ya mapapa.

Maisha

[hariri |hariri chanzo]
Umati wa watumilioni 6 wakishirikiMisa iliyongozwa na Papa Fransisko huko Rizal Park,Manila,Ufilipino, tarehe18 Januari2015.

Alizaliwa tarehe17 Desemba1936 hukoBuenos Aires,mji mkuu waArgentina, hivyo ni papa wa kwanza kutokeabara laAmerika. Pia ni wa kwanza kutokaShirika la Yesu.

Baada ya masomo yakemia na kipindi kifupi chakazi, tarehe11 Machi1958 aliitikiawito wakitawa na wakipadri, akawekanadhiri za muda tarehe12 Machi1960, akapataupadrisho tarehe13 Desemba1969.

Tarehe22 Aprili1973 aliwekanadhiri za daima.

Kati ya miaka1973 na1979 alikuwamkuu wa shirika nchini Argentina.

Mwaka1992 alichaguliwa kuwaaskofu msaidizi wa Buenos Aires akapewadaraja hiyo tarehe27 Juni mwaka huo, halafu akawaaskofu mkuu wa Buenos Aires tarehe28 Februari1998, pia askofu waWakatoliki wa Mashariki wa Argentina wasio na askofu wa kwao tarehe6 Novemba 1998, akateuliwa kuwakardinali tarehe21 Februari2001.

Kati ya miaka2005 na2011 alikuwa rais waBaraza la Maaskofu Katoliki la Argentina.

Alichaguliwa Papa tarehe13 Machi2013, wiki mbili baada ya mtangulizi wake kung'atuka.

Tofauti na kawaida, alijichagulia jina lisilowahi kutumiwa na mapapa waliomtangulia. Chaguo hilo linaelekeza nia ya kufuata kwa namna fulani roho yaFransisko wa Asizi.

Hata kabla ya kuchaguliwa alijulikana kwaunyenyekevu naufukara wake, pamoja na juhudi za kuteteahaki za wanyonge,imani sahihi namaadili yaKanisa.

Tabia hizo alizileta katika ngazi ya juu yaKanisa Katoliki, akijivutia mioyo ya watu wengi.

Tarehe13 Aprili 2013 alichagua Jopo la Makardinali 8 kutoka mabara yote limsaidie kuongoza Kanisa na kurekebishaidara naofisi zake hukoVatikano.

Tarehe29 Juni 2013, Papa Fransisko alitoa waraka wake wa kwanza, "Lumen Fidei", kuhusu imani; huo ulifuatwa tarehe24 Novemba 2013 na "Evangelii Gaudium" kuhusuuinjilishaji.

Tarehe18 Juni2015, alitoabaruaensiklika kwa watu wote "Laudato si'" kuhusumazingira, mabadiliko yahali ya hewa na maendeleo ya kufaa. Barua hiyo ilipokewa vizuri na wengi.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Maandishi

[hariri |hariri chanzo]

Vitabu

[hariri |hariri chanzo]
  • Bergoglio, Jorge (1982).Meditaciones para religiosos (kwa Spanish). Buenos Aires: Diego de Torres.OCLC 644781822.{{cite book}}:Unknown parameter|trans_title= ignored (|trans-title= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Bergoglio, Jorge (1992).Reflexiones en esperanza (kwa Spanish). Buenos Aires: Ediciones Universidad del Salvador.OCLC 36380521.{{cite book}}:Unknown parameter|trans_title= ignored (|trans-title= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Bergoglio, Jorge (2003).Educar: exigencia y pasión: desafíos para educadores cristianos (kwa Spanish). Buenos Aires: Editorial Claretiana.ISBN 9789505124572.{{cite book}}:Unknown parameter|trans_title= ignored (|trans-title= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Bergoglio, Jorge (2003).Ponerse la patria al hombro: memoria y camino de esperanza (kwa Spanish). Buenos Aires: Editorial Claretiana.ISBN 9789505125111.{{cite book}}:Unknown parameter|trans_title= ignored (|trans-title= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Bergoglio, Jorge (2005).La nación por construir: utopía, pensamiento y compromiso: VIII Jornada de Pastoral Social (kwa Spanish). Buenos Aires: Editorial Claretiana.ISBN 9789505125463.{{cite book}}:Unknown parameter|trans_title= ignored (|trans-title= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Bergoglio, Jorge (2006).Corrupción y pecado: algunas reflexiones en torno al tema de la corrupción (kwa Spanish). Buenos Aires: Editorial Claretiana.ISBN 9789505125722.{{cite book}}:Unknown parameter|trans_title= ignored (|trans-title= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Bergoglio, Jorge (2006).Sobre la acusación de sí mismo (kwa Spanish). Buenos Aires: Editorial Claretiana.ISBN 978-950-512-549-4.{{cite book}}:External link in|trans_title= (help);Unknown parameter|trans_title= ignored (|trans-title= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Bergoglio, Jorge (2007).El verdadero poder es el servicio (kwa Spanish). Buenos Aires: Editorial Claretiana.OCLC 688511686.{{cite book}}:Unknown parameter|trans_title= ignored (|trans-title= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Bergoglio, Jorge (2009).Seminario: las deudas sociales de nuestro tiempo: la deuda social según la doctrina de la iglesia (kwa Spanish). Buenos Aires: EPOCA-USAL.ISBN 9788493741235.{{cite book}}:Unknown parameter|trans_title= ignored (|trans-title= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Bergoglio, Jorge;Skorka, Abraham (2010).Sobre el cielo y la tierra (kwa Spanish). Buenos Aires: Editorial Sudamericana.ISBN 9789500732932.{{cite book}}:Unknown parameter|trans_title= ignored (|trans-title= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Bergoglio, Jorge (2010).Seminario Internacional: consenso para el desarrollo: reflexiones sobre solidaridad y desarrollo (kwa Spanish). Buenos Aires: EPOCA.ISBN 9789875073524.{{cite book}}:Unknown parameter|trans_title= ignored (|trans-title= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Bergoglio, Jorge (2011).Nosotros como ciudadanos, nosotros como pueblo: hacia un bicentenario en justicia y solidaridad (kwa Spanish). Buenos Aires: Editorial Claretiana.ISBN 9789505127443.{{cite book}}:Unknown parameter|trans_title= ignored (|trans-title= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)

Mengine

[hariri |hariri chanzo]
      .

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
karne ya 1 hadi ya 4
karne ya 5 hadi ya 8
karne ya 9 hadi ya 12
karne ya 13 hadi ya 16
karne ya 17 hadi ya 20
karne ya 21
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Papa_Fransisko&oldid=1216956"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp