Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Papa Felix III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaPapa Felisi III)
Mt. Felisi III.

Papa Felix III alikuwaPapa kuanziatarehe13 Machi483 hadikifo chake tarehe25 Februari/1 Machi492[1]. AlitokeaRoma,Italia, katikaukoo maarufu.

AlimfuataPapa Simplicio akafuatwa naPapa Gelasio I.

Uamuzi wake wa kwanza ulikuwa kukataahati maarufu kamaHenotikon kwa sababu haikusema wazi kwambaYesuKristo ana hali mbili,Umungu nautu[2]. Uamuzi huo ulisababishafarakano laAcacius wa Konstantinopoli.

Upande waAfrika Kaskazini aliamua suala laWakatoliki waliokubali kubatizwa tena naWaario ili kukwepadhuluma ya watawalaWavandali[3]. Kufuatana nasinodi maalumu yamwaka487 aliwaandikamaaskofu wa huko masharti ya kuwapokea upyakundini[4][5].

Kutokana nawatoto aliowazaa katikandoa yake kabla hajachaguliwa, walipatikana baadayePapa Agapeto I (mjukuu) naPapa Gregori I (kitukuu)[6][7].

Tangu kale anaheshimiwa kamamtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe1 Machi[8][9].

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Maandishi yake

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Monks of Ramsgate. "Felix III". Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 26 February 2017
  3. Victor of Vita,History of the Vandal Persecution, 2.3-6 (John Moorhead, trans.), Liverpool: University Press, 1992, p. 25
  4. "Pope Saint Felix III".New Catholic Dictionary. CatholicSaints.Info. 2 October 2015
  5.  This article incorporates text from a publication now in thepublic domainColeman, Ambrose (1909)."Pope St. Felix III" . Katika Herbermann, Charles (mhr.).Catholic Encyclopedia. Juz. la 6. Robert Appleton Company.{{cite encyclopedia}}:Cite has empty unknown parameters:|1=,|month=, na|coauthors= (help);Invalid|ref=harv (help)
  6. Coleman, Ambrose. "Pope St. Felix III." The Catholic Encyclopedia. Vol. 6. New York: Robert Appleton Company, 1909. 6 Apr. 2013
  7. R.A. Markus,Gregory the Great and his world (Cambridge: University Press, 1997), p. 8
  8. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001,ISBN 8820972107
  9. "Pope Saint Felix III". 11 Oktoba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
karne ya 1 hadi ya 4
karne ya 5 hadi ya 8
karne ya 9 hadi ya 12
karne ya 13 hadi ya 16
karne ya 17 hadi ya 20
karne ya 21
Makala hii kuhusu Papa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPapa Felix III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Papa_Felix_III&oldid=1219386"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp