Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Papa Eutychian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Eutikiani.

Papa Eutychian alikuwaPapa kuanziatarehe4 Januari275 hadikifo chake tarehe7 Desemba283[1]. AlitokeaLuni,Toscana,Italia[2].

AlimfuataPapa Felisi I akafuatwa naPapa Kayo.

Hakuna habari nyingi za hakika juu yamaisha nakazi yake[3][4].

Hata hivyo, tangu kale anaheshimiwa kamamtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe8 Desemba[5].

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Maandishi yake

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. The Editors of Encyclopædia Britannica."Saint Eutychian".Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo16 Agosti 2016.{{cite encyclopedia}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3.  One or more of the preceding sentences incorporates text from a publication now in thepublic domainChisholm, Hugh, mhr. (1911)."Eutychianus" .Encyclopædia Britannica. Juz. la 9 (tol. la 11th). Cambridge University Press. uk. 958.{{cite encyclopedia}}:Cite has empty unknown parameter:|coauthors= (help)
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/89027
  5. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001,ISBN 8820972107

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
karne ya 1 hadi ya 4
karne ya 5 hadi ya 8
karne ya 9 hadi ya 12
karne ya 13 hadi ya 16
karne ya 17 hadi ya 20
karne ya 21
Makala hii kuhusu Papa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPapa Eutychian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Papa_Eutychian&oldid=1367280"
Jamii:
Jamii zilizofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp