Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Papa Caio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaPapa Caius)
Papa Kayo

Papa Caio alikuwaPapa kuanziatarehe17 Desemba283 hadikifo chake tarehe22 Aprili296[1]. AlitokeaDalmatia, leo nchiniKorasya[2].

AlimfuataPapa Eutychian akafuatwa naPapa Marcellinus.

Wakati wa Upapa wake, chokochoko dhidi yaWakristo zilianza kuongezeka tena, ingawa waliweza kujengamakanisa na kupanuamashamba ya Mungu. Alidai muumini asipeweuaskofu bila kupitia kwanzadaraja zote za chini[3]. Alikwepadhuluma yakaisariDioklesyano, anayesemekana alikuwa naundugu naye.

Tangu kale anaheshimiwa kamamtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa katikatarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Maandishi yake

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/50400(Kiitalia)
  3. Saint of the Day, April 22:CaiusArchived 28 Oktoba 2013 at theWayback MachineSaintPatrickDC.org. Retrieved 4 March 2012.
  4. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001,ISBN 8820972107

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
karne ya 1 hadi ya 4
karne ya 5 hadi ya 8
karne ya 9 hadi ya 12
karne ya 13 hadi ya 16
karne ya 17 hadi ya 20
karne ya 21
Makala hii kuhusu Papa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPapa Caio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Papa_Caio&oldid=1261806"
Jamii:
Jamii zilizofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp