Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Papa Boniface IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaPapa Bonifasi IV)
Papa Bonifasi IV.

Papa Boniface IV,O.S.B. (takriban5508 Mei615) alikuwaPapa kuanziatarehe25 Agosti608 hadikifo chake[1]. Alitokeamkoa waAbruzzi,Italia[2][3].Baba yake alikuwatabibu,jina lake Yohane.

AlimfuataPapa Bonifasi III akafuatwa naPapa Adeodato I.

Chini yaPapa Gregori I alikuwashemasi mkuu[4].

Alistawishaumonaki na kugeuzaPantheon,hekalu lamiungu yotemjiniRoma, kuwakanisa kwaheshima yaBikira Maria nawafiadini wote[5].

Tangu kale anaheshimiwa kamamtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwatarehe8 Mei[6].

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  3. Andrew J. Ekonomou. Byzantine Rome and the Greek Popes. Lexington books, 2007
  4.  Oestereich, Thomas (1907)."Pope St. Boniface IV" . Katika Herbermann, Charles (mhr.).Catholic Encyclopedia. Juz. la 2. Robert Appleton Company.{{cite encyclopedia}}:Cite has empty unknown parameters:|1=,|month=, na|coauthors= (help);Invalid|ref=harv (help)
  5. MacDonald, William L. (1976).The Pantheon: Design, Meaning, and Progeny. Cambridge, MA: Harvard University Press. ISBN|0-674-01019-1
  6. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001,ISBN 8820972107

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
karne ya 1 hadi ya 4
karne ya 5 hadi ya 8
karne ya 9 hadi ya 12
karne ya 13 hadi ya 16
karne ya 17 hadi ya 20
karne ya 21
Makala hii kuhusu Papa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPapa Boniface IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Papa_Boniface_IV&oldid=1396243"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp