Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Papa Boniface II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaPapa Bonifasi II)
Papa Bonifasi II.

Papa Boniface II alikuwaPapa kuanziatarehe20/22 Septemba530 hadikifo chake tarehe17 Oktoba532[1][2]. AlitokeaRoma,Italia[3], lakini alikuwaMwostrogoti, Papa wa kwanza mwenyeasiliya Kigermanik[4].

AlimfuataPapa Felisi IV akafuatwa naPapa Yohane II.

Aliteuliwa na mtangulizi wake awawekwawakfu na kuvishwataji la kipapa tarehe22 Septemba 530. Mpinzani wake,antipapa Dioscorus, aliyechaguliwa na wingi wamapadri waRoma, aliwekwa wakfusiku hiyohiyo lakini alifariki siku 22 baadaye.

Uamuzi muhimu zaidi aliouchukua ni kupitisha mafundisho yaMtaguso wa Orange (529) kuhusu haja yaneema kwawokovu[5].

Mazishi yake yalifanyika tarehe17 Oktoba 532.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Maandishi yake

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2.  Peterson, John Bertram (1913)."Pope Boniface II" .Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company.
  3. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  4. Paolo Bertolini, Bonifacio II, papa inhttps://www.treccani.it/enciclopedia/papa-bonifacio-ii_%28Dizionario-Biografico%29/
  5. "Pope Boniface II".Catholic Encyclopedia (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo2017-03-17.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Sessa, Kristina (2012).The Formation of Papal Authority in Late Antique Italy: Roman Bishops and the Domestic Sphere. Cambridge University Press.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
karne ya 1 hadi ya 4
karne ya 5 hadi ya 8
karne ya 9 hadi ya 12
karne ya 13 hadi ya 16
karne ya 17 hadi ya 20
karne ya 21
Makala hii kuhusu Papa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPapa Boniface II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Papa_Boniface_II&oldid=1222714"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp