Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Papa Benedikto VI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Benedikto VI.

Papa Benedikto VI alikuwaPapa kuanziaDesemba972 au19 Januari973 hadikifo chake mnamoJulai974[1]. AlitokeaRoma,Lazio,Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.

AlimfuataPapa Yohane XIII akafuatwa naPapa Benedikto VII.

Alilindwa hasa naKaisariOtto I waUjerumani. Huyo alipofariki, wenyeji wamji wa Roma walimfunga Benedikto VI na baada ya miezi michache wakamuua.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
karne ya 1 hadi ya 4
karne ya 5 hadi ya 8
karne ya 9 hadi ya 12
karne ya 13 hadi ya 16
karne ya 17 hadi ya 20
karne ya 21
Makala hii kuhusu Papa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuPapa Benedikto VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Papa_Benedikto_VI&oldid=1216906"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp