Pambo wa jangwani (kwaKigiriki: Όσιος Παμβώ; kwaKiarabu-Kikopti: موا au بيموا,Pemwah auBemwah; alifariki375 hivi) ni kati yaWakristo waMisri waliokwenda kuishijangwani chini yaAntoni Mkuu[1]. Baadaye alianzishamonasteri nyingi.[2]
Alijulikana kwahekima yake akaombwa shauri na wengi, wakiwemoAthanasius,Melania Mzee naRufinus.
Kati yawanafunzi wake wamoPishoy naYohane Mbilikimo.
Tangu kale anaheshimiwa naWakatoliki naWaorthodoksi kamamtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwatarehe1 Julai au18 Julai[3][4][5].
Misemo yake katikatafsiri yaKiswahili inapatikana ndani yakitabu:
![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |