Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Pafo

Majiranukta:34°46′N32°25′E / 34.767°N 32.417°E /34.767; 32.417
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Nguzo ya Mtume Paulo huko Pafo.

Pafo (kwaKigiriki cha zamani: Πάφος [ˈpafos]; kwaKituruki:Baf) ulikuwamji mkuu wakisiwa chaCyprus wakati waDola la Roma. Kwa sasa nimakao makuu yawilaya ya Pafo.

Pafo ilifikiwa nawamisionariMtume Paulo naBarnabamwaka45 hivi (Mdo 13:4-12). Katika nafasi hiyo,liwaliSergius Paulus aliongokeaUkristo.

Mji huo umeorodheshwa naUNESCO kati ya mahali paUrithi wa Dunia.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]


Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

34°46′N32°25′E / 34.767°N 32.417°E /34.767; 32.417

Safari ya kwanza
Safari ya pili
Safari ya tatu
Makala hii kuhusu eneo fulani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Pafo&oldid=1301562"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp