Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

PHP

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
PHP
PHP-logo
Shina la studionamna : namna ya utaratibu

inaozingatiwa kuhusu kipengee

namna nyingi

ImeanzishwaJanuari 11994 (1994-01-01) (umri 31)
MwanzilishiRasmus Lerdorf
Ilivyo sasaIlivutwa na: Perl, C, C++, Java, Tcl, JavaScript, Hack

Ilivuta: Hack

MahalaThe PHP Development Team, Zend Technologies
Tovutihttps://www.php.net

PHP nilugha ya programu. Iliundwa na Rasmus Lerdorf na ilianzishwatarehe1 Januari1994. Iliundwa ili kuumbatovuti kamaFacebook auWikipedia. Leo tunatumia PHP 8.0.0. Ilivutwa naC.

Inaitwa PHP,kifupi cha maneno "Hypertext Preprocessor"

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Ilianzishwa 1 Januari 1994 nchiniMarekani, lakini Rasmus Lerdorf alianza kufanyakazi kuhusu PHPmwaka wa1993.

Falsafa

[hariri |hariri chanzo]

Namna ya PHP ni namna ya utaratibu, namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.

Sintaksia

[hariri |hariri chanzo]

Sintaksia ya PHP ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kamaJavaScript,Python auRuby. Ilivutwa na sintaksia yaC++, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya PHP

[hariri |hariri chanzo]

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

<!DOCTYPE html><html> <head>  <title>PHP programu "Jambo ulimwengu !"</title> </head> <body><?phpecho'<p>Jambo ulimwengu !</p>';?> </body></html>

Programu kwa kupata factoria ya namba moja.

    <html>    <head>    <title>Programu kwa kupata factoria</title>    </head>    <body>    <form method="post">        Ingia namba:<br>        <input type="number" name="number" id="number">        <input type="submit" name="submit" value="Submit" />    </form><?phpif($_POST){$fact=1;//getting value from input text box 'number'$number=$_POST['number'];echo"Factoria ya$number:<br><br>";//start loopfor($i=1;$i<=$number;$i++){$fact=$fact*$i;}echo$fact."<br>";}?>    </body>    </html>

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Luke Welling, Laura Thomson, PHP and MySQL Web development, Sams Publishing, 2008, 4e éd. (ISBN 0-672-32916-6, OCLC 854795897)
  • Damien Seguy, Philippe Gamache, Sécurité PHP 5 et MySQL, 3e édition, Eyrolles, 1er décembre 2011, 277 p. (ISBN 2-212-13339-1)
  • Jean Engels PHP 5 Cours et Exercices, 3e édition, Eyrolles 2013, 631 pages (ISBN 978-2-212-13725-5)
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=PHP&oldid=1108349"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp