Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Otto Diels

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Otto Diels

Otto Paul Hermann Diels (23 Januari18767 Machi1954) alikuwa mwanakemia kutoka nchi yaUjerumani. Hasa alichunguzausanisi wamisombo ya kikaboni. Mwaka wa1950, pamoja naKurt Alder alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuOtto Diels kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Otto_Diels&oldid=1119153"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp