Ositha
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Ositha (pia:Osgyth,Osyth,Sythe naOthith; alifariki 700 hivi) alikuwabinti waukoo wa kifalme waMercia.
Mzaliwa waQuarrendon, Buckinghamshire alilelewa katikamonasteri hukonWarwickshire chini yamtakatifu Modwen akatamani kuwaabesi, lakini alilazimishwa nababa yakeMpagani kuolewa na mfalmeSighere wa Essex akamzaliamtotowa kiume.
Baadaye akawekanadhiri zakimonaki akaanzisha monasteri hukoChich,Essex, akaiongoza hadikifo chake ambacho kilihesabiwa kamakifodini[1].
Tangu kale anaheshimiwa naWakatoliki naWaanglikana kamamtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishatarehe7 Oktoba.
![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |