Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Oregon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Oregon
Jimbo
Kauli Mbiu
Alis volat propriis
Wimbo wa taifa
Oregon,My Oregon
Ramani ya
Ramani ya
Eneo la Oregon katika Marekani
NchiMarekani
Mji MkuuSalem
Jiji kubwaPortland
IlijiungaFebruary 14, 1859; (ya 33)
Lugha rasmiKiingereza (de facto)
UtaifaM-OregonOregonian (en)
Serikali
GavanaTina Kotek
Naibu gavanaTobias Read
Eneo
Jumla254,806 km²
Ardhi248,849 km²
Idadi ya Watu
Kadirio 4,272,371
Pato la Taifa(2024)
Jumla $329.38 Bilioni (ya 25)
Kwa kila mtu $77,916
HDI (2024)0.938(ya 12)
Maendeleo ya Juu Sana
Mapato ya Kati
ya Kaya (2023)
$80,200 (ya 19)
Majira ya saaUTC-8 (PCT)
Tovuti
🔗oregon.gov
Sehemu ya Jimbo la Oregon

Oregon ni jimbo laMarekani upande wa magharibi-kazkazini ya nchi. Iko kwenye pwani laPasifiki.Mji mkuu niSalem naPortland ni mji mkubwa. Impekana naWashington,Idaho,Nevada naCalifornia. Jimbo lina wakazi wapatao 3,790,060 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 255,026.Miji muhimu baada ya Portland niEugene,Astoria,Medford naBend.

Mlima Hood ni mlima mkubwa katika Oregon.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo yaMarekani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuOregon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Oregon&oldid=1407364"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp