Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Ogaden

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Ogaden katika Ethiopia

Ogaden ni jina la kimataifa la eneo kubwa laEthiopia yamashariki. Zamani ilikuwa jina lajimbo linaloitwa leoJimbo la Somali la Ethiopia.

Ogaden imepakana naKenya,Somalia naJibuti.

Eneo hili linaumbo lapembetatu na jumla ni takribankilomita za mraba 370,000.Hali ya hewa niyabisi, kuna sehemu ambazo nijangwa kabisa, nyinginezosavana yabisi.

Wakazi ni hasaWasomali.

Kwa miaka mingi vikundi vyawanamgambo wamejaribu kutenganisha eneo hili na Ethiopia lakini hawakufaulu. Miaka1977-1978 kulitokeaVita ya Ogaden ambamojeshi la Somalia lilijaribu kuteka eneo hili kwa msaada wa wanamgambowenyeji. Hatimaye walishindwa na Waethiopia kwa msaada waWarusi naWakuba.

Makala hii kuhusu maeneo yaEthiopia bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuOgaden kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ogaden&oldid=1177596"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp