Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Nyeusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Puto juu yatheluji: Puto haiakisii nuru hivyo inaonekana nyeusi; theluji chini yake inaakisi sehemu zote za nuru hivyo inaonekane nyeupe.

Nyeusi nirangi tunayoona wakati jicho letu halipokeinuru, au miale ya nuru hafifu sana.

Hapa ni sababu wengine husema nyeusi si rangi bali uhaba wa rangi zote.

Kifizikia gimba lolote huonekana jeusi, kama haliakisii nuru hata kidogo.

Nyeusi ni rangi na makaa, ya usiku na ya giza. Kinyume chake ninyeupe.

Katika tamaduni mbalimbali imepewa maana tofauti; mara nyingi ya huzuni (kama watu wanaofiwa wanaaa mavazi meusi). Katika uamaduni waUlaya ilikuwa pia rangi ya mamlaka na heshima kwa hiyo majaji na wachungaji wanaweza kuvaa gauni nyeusi, piawanaume kuvaa suti nyeusi kwa nafasi maalumu.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Nyeusi&oldid=1314215"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp