Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Nvidia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nvidia Corporation nikampuni ya kimataifa yaMarekani yateknolojia yenye makao makuuSanta Clara,California, na ilisajiliwa rasmi katika jimbo laDelaware. Iliasisiwa mnamo1993 na Jensen Huang (Rais na CEO), Chris Malachowsky, na Curtis Priem. Nvidia ni kampuni yaprogramu na isiyo na viwanda ya kutengeneza na kusambaza vitendaji vya kuchakata michoro (GPUs), interfaces za programu za matumizi (APIs) kwasayansi yadata nakompyuta zenye utendaji wa juu, pamoja na vitengo vya mifumo kwenye chipu (SoCs) kwa kompyuta za simu na soko lamagari. Nvidia pia ni msambazaji mkuu wa vifaa na programu zaakili bandia (AI)[1][2][3].


Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Enderle, Rob (Januari 18, 2022)."Why NVIDIA Has Become a Leader in the AI Market".Datamation.Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 29, 2022. Iliwekwa mnamoAprili 11, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Goldman, Sharon (Februari 23, 2023)."How Nvidia dominated AI — and plans to keep it that way as generative AI explodes".VentureBeat.Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 1, 2023. Iliwekwa mnamoMachi 1, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Nvidia: The chip maker that became an AI superpower" (kwa Kiingereza). Mei 25, 2023.Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 23, 2023. Iliwekwa mnamoJanuari 2, 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo yateknolojia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Nvidia&oldid=1384713"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp