Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Nusutufe ya kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nusutufe ya Kaskazini:Amerika Kaskazini (kushoto) pamoja na sehemu ya juu yaAmerika Kusini,Eurasia (Asia na Ulaya) pamoja na kaskazini yaAfrika
Tofauti ya viwango vya bahari na nchi kavu kati ya nusutufe za dunia

Nusutufe ya kaskazini (pianusudunia ya kaskazini;Kiing.:Northern Hemisphere) ni nusu yaDunia ilioko upande wa kaskazini yaikweta.

Tofauti nanusutufe ya kusini hii kaskazini ya Dunia ina maeneo makubwa zaidi ya nchi kavu; theluthi mbili za nchi kavu za dunia ziko hapa kaskazini. Kwa hiyo pia sehemu kubwa ya binadamu hukaa kwenye nusutufe hii, ni asilimia 90 ya watu wote wanaoishi duniani.[1]

Kati ya mabara ni yote ya Ulaya, Asia naAmerika Kaskazini yaliyopo kwenye nusutufe hii.

Majira ya joto huwa ni hapa kuanzia Juni hadi Septemba, na majira baridi kuanzia Disemba hadi Machi.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Pretty Much Everyone Lives In The Northern Hemisphere, tovuti ya Business Insider ya May 4, 2012, iliangaliwa Agosti 2017
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Nusutufe_ya_kaskazini&oldid=1260982"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp