Nusu
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Nusu (kutokaneno laKiarabuنصفnisf) ni kipande chakitu kizima ausehemu ya pili yajumla fulani.
Katikahisabati ni kwamba jumla hiyo imegawiwa katika sehemumbili zilizo sawa. Hivyo inaandikwa 1/2, 0.5 au pia 0.49999999...
Katikalugha ya kawaida inaweza kuwa na maana ya sehemu tu, bila kujaliukubwa wake, kama ni 50% au juu au chini ya hapo.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yahisabati bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuNusu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |