Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Nunavut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru







Nunavut

Bendera

Nembo
NchiBendera ya Kanada Kanada
Mji mkuuIqaluit
Eneo
 - Jumla1,936,113km²
Tovuti:  http://www.gov.nu.ca/
Mwinuk, Arviat.

Nunavut (kwaKiinuktitut:ᓄᓇᕗᑦ,nchi yetu) ni eneo kubwa laKanada upande wa kaskazini ya nchi, ambalo tangu1999 limetengwa naNorthwest Territories kwa ajili yaWaeskimo.

Imepakana naManitoba,Saskatchewan naNorthwest Territories.

Nunavut ina wakazi wapatao 31,556 (2009) wanaokalia eneo lakilomita za mraba zipatazo 2,093,190.

Mji mkuu na mji mkubwa niIqaluit.

Kunalugha rasmi 4:

  1. Kiinuktitut
  2. Kiinuinnaqtun
  3. Kiingereza
  4. Kifaransa

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
  
Majimbo
Maeneo
Makala hii kuhusu maeneo yaKanada bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuNunavut kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Nunavut&oldid=1258929"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp